JWST ilienda wapi?

The most expensive machine in human history was launched into space recently and was supposed to bring us things we had not seen for a long time. Lakini hakuna kitu ya maana imeleta

Inachap job msee
[MEDIA=twitter]1658817583380873216[/MEDIA]

Mbona haileti mbisha za aliens?

They are just around the corner,
[MEDIA=twitter]1659305614533640194[/MEDIA]

Hizi pictures huwa edited mbaya sana

Stick to your lane, not you personally but Kenyans.

Improve aerodynamics za BJ50 kwanza

Hii kitu ka haileti 4kHD photos za uranus na pluto ikwende huko.

hatutambui mikebe zimetumika kuwaste taxpayer dorras.

True dat