Jamani hakuna kitu kinatesa kama uraibu. Baada ya JF kufunga majukwaa mb zangu 200 za voda ambazo tnalalamika kwamba wanatuibia gharama kubwa zikawa nyingi ghafla.
Yaani unaperuzi kila sehemu unaona chenga tu unarudi tena kufungua jf labda wamefungua unakuta mtangazo wa maxence nimehaha jaman foruma za nigeria mpaka Ghana mpaka Congo.
Hapa pamenipunguzia stress 50%
tupambane tu ivyo ivyo
Hahah!!
Balaaaaaa
mi ndo nafika hapa mida hii, nahisi kupungua uzito kiasi kwa siku hizi kadhaa
Yaani unahisi kuna kitu kimepungua
Nilimiss sana haya mawazo ya wadau, thanks Kenya talk
Mimi ilibidi nikafungulunyue akaunt yangu ya fb baada ya kuona Mb zinaexpire tu.
Haahhahaahha
Uraibu mbaya Sana kwakweli, nilienda my broadband kule kwa madiba sijapata ile ladha naitafuta ,ila hapa kidogo alosto imepungua
Pole sana… mazoea yana tabu…
Cc: @Mahondaw
Yeeees miguna wa miguna…tell me my friend…how was Europe?
Hahahahaaaa! Mara paap, na huku wamefunga!..
Chenga kila upande.
Mashikolo mageni
Sio siri nimeteseka sana hadi kufika hapa kijijini