Just KPLC things...

Who’s in the same boat as me or worse? I’m curious…

Wakora

Bona ung’ang’ane kuficha meter number?

Kwani unataka free power

Shogaa hii. Mwanaume kamili ni ku own up to their own expenses. Unalilia nani juu ya mia tano

Maisha ngumu, 19 units ni za lights pekee na tv for a week

Hizi tokens ni nini? Bado mimi ni old school post pay. But nakamuliwa ka shiet na KP. Last months bill was 8k.

Ukipiga kplc uwapatie number ya meter utapatiwa jina ya holder :smiley:

Shoga ni wewe na babako.

Mbona unawashwa?

Exactly. But point yangu ni, 500 ilikua inanipea 31 units kitambo, sasa ni 19! A few more.months itakua 15 and I’ll be getting half the units for the same amount of money.

Inflation, rise in fuel costs, time value of money… Si pia kuna time 1000 ilikua inanunua gari

Hebu analyze issues kaa mse alienda shule

Inflation of almost double over two years? Pia wewe tumia akili kidogo before uanze kurusha matusi. Fucking idiot!