Just a normal day in iceland..

[ATTACH=full]453783[/ATTACH]
[MEDIA=twitter]1549386074262102016[/MEDIA]

Naskianga hio hot lava ukichota hakafu uwekee kwa freezer ati hugeuka noble metal diamond.

'Precious Stone Metal '.

So hao wazee wanaota ama? Ya Congo ikilipuka ni mguu niponye

Story ya jaba base.

:D:D:D kwa fridge tena!!!

Diamond pia hapana kaka. Huwa tu rocks a good example ni zile mawe za kusugua miguu.

Hizi hakuna kienyeji huwa hana, kabla aoge mwili anaanza na miguu anazisugua for one hour alafu anapeleka karai kwa bafu na kagunia. Akikauka anajipaka arimis. Anashine.

[ATTACH=full]453863[/ATTACH]

:D:D:D:D

That rock was called pumice Kwa geography?

Teacher wa geography hehe

I did KCSE 28 years ago na bado I can remember

28 years hehe…mujamaa wa 1994. Pia wewe ulipata A minus ka @Bingwa Scrotum ama uliona giza…:D:D:D
Shifo you are fothe sigs

I got a clean A. Bingwa Makende is a dwarf academically