Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imepatiwa ekari 125 bure na Tanzania

Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki Hati ya Umiliki wa Ardhi yenye ukubwa wa ekari 125 bure bila malipo yoyote kwa ajili ya Jumuiya hiyo mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Ndogo, Arusha Machi 03, 2023.

[ATTACH=full]499191[/ATTACH]