JULIUS KIPNGETICH AENDE AKACHUNGE WANYAMA

Yesterday I watched a news item on the Uchumi employees strike where on guy said that kama Julius ameshidwa na kazi arudi KWS akachunge wanyama.
If it were you you, unaeza piga CEO of your company sweep kama hio, when TV cameras are rolling?

1 Like

huyo lazima alifutwa kazi na sms jo

2 Likes

Heard him this morning kwa radio, alinimada bana

1 Like

I guess huyo ni jamaa Wa union.

1 Like

Huyo jamaa lazma anajua the ship is drowning so yeye na CEO watakuwa jobless soon enough anyway

2 Likes

:smiley:

I thought so too, he was too bold.

1 Like