Juja city mall club opening

Niko paha juja city mall kwa club mbichi kabisa tuko raia sita.

Wamekataa kuniuzia malt moja…wanasema leo zinaenda mbili mbili. Mimi sio mjinga, sitaingia box haraka hivo, wameamua hawa watanunua stock yote hehehe wacha tuone. Hawana food ubaya nkt!

Next week napeleka kijiji yetu nyumbani walewe pia.

Merry Christmas buddies!

3 Likes

Nikawaida hizo drinks ziko bottled in smaller bottles huwa most pubs wanauza mbili mbili

1 Like

Kuna hadi bats zina fly fly…nice touch

1 Like

Mbisha ama ni hekaya tu.

Siezi piga bats picha…plus nategea madame wakuom

Last nilikuwa kwa hiyo mall parking ilikuwa free…na biz ilikuwa moja pekee…tuskys ground floor. Naweza pitia soon kuona maendeleo

1 Like

Leo nataka tu kushika boobs bana

1 Like

Kuna madame huko ama umeenda na wao?

Hakuna bana…club iko poa lakini hakuna wasee iko empty. Lakini boiz wangu amefika…sasa ni kuwatafuta hawa watu :smiley:

Merry Christmas and happy new year. Enjoy kabisa

1 Like

Endeni senate hapo Juja town…imechapa kiasi but mtaangukia madame huko…am a mwende Capital center kama mifuko yenyu iko sawa

Tumeamua twende thika…kuna bash iko huko…tutawaget wengi huko

Yeah…Thika is cool…kwanza Blend…never disappoints. Good luck mate

You too bro…jienjoy kabisa…nax kuna maneno mazuri?

Hehe I don’t need luck hio unaweza jiekea ndugu

1 Like

:D:D:D

1 Like

Mbisha tafadhali

Who’s driving u home tonight[ATTACH=full]73411[/ATTACH]

11 Likes

Huko unaeza porwa nitudame twa Nibs ama KU

Juja city mall has been an isssue in my house ,must sample it soon , enjoy yourself.

1 Like