Pale harambee kwa uhunye na AG kunazingine poa nje but ndani na pia engine akina wakanyama walikula nyama
ici ni mbeca !
kila mtu anaongelea haya magari hadi wenye hawawezi affor bike za cheki maneno. now that kila mtu ni expert wa magari wacha sisi tukae nyuma tuone
as long as hazijang’olewa parts uchafu itaoshwa
ziko tu sawa
Btw auction ni lini ?
spare parts ndio pesa iko. Hizi si za kuweka barabara
That’s the whole point of the auction , you buy and refurbish , of course the price has to be low to be able to do all this, otherwise you have to be a car enthusiast who gets satisfaction from refurbishing .
500k gari tano spend same amount to renovate ba unauza 2.something simple hesabu niliskia price inaanza 25k
You deserve "The most ignorant peasant of the Year " award. Wewe U CUNT think outside the box. Perumeru
Unajua emblem Ya BMW pale Bavaria ni 9k? Ya Benz Ft dobie is about 14k, na ukiweka fake it stands out like a momo kwa bash Ya midgets
So the cars have been cannibalized. Hehehehe waKenya hatulali!
Hio 406
@Mzee mzima mijinga kuja ununue gari ya kufloss nayo huko shule, nahope umesomea exam leakage hakuna ata fununu yake huu mwaka
So looking at those cars…what is the difference between the Judiciary staff and machokosh wenye wanang’oa side mirrors hapo Tom Mboya st.
Cheap contraptions…
Na zile za Parliament wataanza kuuza lini, some of them have seen their fare share of accidents