tano tena
[ATTACH=full]169966[/ATTACH]
[ATTACH=full]169967[/ATTACH]
[ATTACH=full]169968[/ATTACH]
tano tena
[ATTACH=full]169966[/ATTACH]
[ATTACH=full]169967[/ATTACH]
[ATTACH=full]169968[/ATTACH]
hehehe hiyo SUV imetii imejua pombe si supu
Hio picha ya kwanza ni wapi huko?
Hii SUV inakaa haina buffer kwa seats:D:D:D
Iyo matope ata hammer military itoboi hapo. Labda MV ya chain.
Unaweza pata ile Suzuki Sierra 1300cc inapenya hapo to and fro ikienda kubuy kiberiti.
Ama suzuki alto unazibeba na mabega kama black mamba unavukisha the other side na unaigia ndani like a boss
Saab 96 walikuwa wanaroll over inaslidishwa kwa matope halafu wanaweka upright na kuendelea.