…in the house. Kindly let me know; is this deliberate or what? Front page kwanza. Tafsali educate me[ATTACH=full]440751[/ATTACH]
Utakuta kuna watu 5000 walinunua gazeti siku hio specifically to read that story.
Na pia wengine 2000 ambao kawaida hua hawanunui gazeti, lakini siku hio walinunua sababu waliona hio story kwa front page.
Now, 7k x 60ksh = 420k
Hio ni ganji poa ?
Wewe baki hapo na hizo ma high Journalistic standards zako.
Wachana na ngata press mujamaa
Hehe… I’m not talking about the story
Journalism na umakanga ziko same WhatsApp group.