Joto Liko Juu Kila Mahali, Kwa Ground Na Mitandaoni, Cheki Hizi Macomments

[ATTACH=full]454907[/ATTACH][ATTACH=full]454914[/ATTACH][ATTACH=full]454908[/ATTACH][ATTACH=full]454909[/ATTACH]

Comment section ya The Star inakuwanga such a vile cesspit! Makes K-talk look like a kindagarten. Usijisumbue na hizo dindus, typing inflammatory rhetoric from their well ventilated offices, using the company’s internet, while drinking warm tea.

Hizo ni kelele za chura tuu. No different from the rhetoric we post here.

National elections mi sionangi great differance whether A or B wins.

If National cohesion was serious against hate speech and prosecute the perpetrators. Saa hii wewe ungekuwa industrial area ukipoesha uji. Zile sweep umepiga @Azor Ahai ziko same level na assault.

It is all idle and friendly banter. Unaweza pata @Azor Ahai is my small brother mwenye tunapendana but due to pseudonyms, tunakaa ni kama maadui juu ya matusi.