Joke kali hili

Mwalifahamu?
[ATTACH=full]216395[/ATTACH]

Hapana

Potea mbali

Poorly photoshopped dry joke as fuck

Kwanza hapo juu nimeona 0.49% has been downloaded but kwa squares blue bar ni kama inakaribia 50%

Second thing the download rate nimeona is 4.6kb per second…in highlighting your dry joke of 39 years ,at 4.6kb per second itadowload close to 139Gb…not 88Mb iko hapo

Ya Tatu I will not blame you because you are from Magufoolistan…nyinyi nyote plus your president mko na uji kwa kichwa

Hizi hakili zako zote ungezitumia kupambana na ufisadi

be charitable…it is the Christmas season.

Chritmas ni nini? Ulifeli kingereza

asande. kumbe unajua kiingereza?:D:D

:D:D savage…

Kiasi tu. Niliona wapenda kukosoa watu kingereza kumbe mwosha huoshwa

kumbe wajua hivi na unauliza?

Mbona kuedit post ya awali? Wahisi haya?

Savage kama vile mlipatia Wachina bandari ya Mombasa?

Hakili ni nini?Ulifeli Kiswahili?

Nakienzi.

la, hasha, si haya. Hebu nikuulize - Nikikuonyesha kwamba ulikosanisha vifungo ukifunga shati lako asubuhi, utaendelea kukaa nalo likiwa limefungwa vibaya? Utaaibika?

Nakubaliana na wewe. Nimekupa like.

Spear tuwekee thread ya Jubilee development of the day acha ufala.

Heheheeee was waiting for his unmasking, there was a time he posted with both handles

Tumbilee dvpt of the day: Maaraga airlifted