https://jokajok.com/product-tag/travel/
Wacha nitafte bag moja safi
The bags are good
But hizo bei sio za hustler kama mimi
Hope haitadisappoint
good handiwork. Affordable
I have a guy kwa wathii who sells the same bag cheaper
Same bags aje? Ama similar ones
Yah. And l have a guy who sells the same bags a thousand times more. He is called Balenciaga. Lanes
Wachana na uyu mtu wa kila kitu 150/-
Great stuff. Will promote him.
Mr. 150, put a link of your guy. Let’s see what he got, hopefully not some Chinese bags.
Quality iko sawa, Bei iko zawa. Shida ni izo vitu ameandika, hatuzitaki, aweke side ya ndani ama aweke maandishi kidogo
Niaje @spear
mimi si yeye
Ni ya mzito Tedd Josiah ama. Kazi Safi
:D:D:D
Joka Jok iko na shida gani Benjamin kiplimo?
Wivu inakufanyia Ile kitu