that was like chewing gum to me.
:D:Dtuliwaachia ma CID wa deal nao lakini mmoja aliponyoka but hawezi enda mahali. hawana papers. hao ni deportation after 3 months in jail. labda ahepe na meli. na meli pia unaweza toswa baharini kama hauna pesa:D:D:D:D
:D:D:D:Dā¦Mafeelings wachia sosion na kaimenyi
sasa si mu act movie ya joint kenyan-fillipino arrest in the camel sheds
sasa mnatakaje. nisipoweka mbisha mnateta mnataka vindio sai ni movie unaitisha pthooo. hata movie nikiweka mtataka season 2 kwerrraa
Hehe ā¦ huyo filipino alikuwachia ya macho kweli? From now on utakuwa kama don in their eyes bana.
I challenge you for a duel
teren teren sword fight around Valentines
aliwacha ya macho:D:D:D. hiyo hata sikuitisha. akabuy dishi na mzinga ka tatu. hata sai siwezi fanya job hangi ndiambo. yeye ametokea technical appearance amerudi kulala
Leta handle ya telegram lab utupe findeo .
hero now ama ?
uko poa Champ if Ningepita mbele ya amateur ningeitisha a boxing friendly Palpal.
@Lab we umekuwa csi uko ? Unakumbuka ben wa shrink? Bado hajawacha umama!
sa
sasa weweeee nini inakuwashaa si ukae maisha yako forefore. bado we mchanga
mara ngapi ango semeji nimesema uniweke telegram unalenga me ni mzee hata sijui telegram ni nini hebu kuja kwa sanduku