Elders, I have finally found the best sacco to start investing in after a little background research. So next month I’ll be joining STIMA SACCO. Anyone who has prior experience or pros and cons of saccos?
The best sacco ni yenye uko na guarantors.
I think @ChifuMbitika ni member huko… anaeza kupa mawaidha.
Mimi niko ingine iko hapa Laikipia
Niko Nation Sacco Mdau
Hiyo ni ya piwa?
Iko chonjo.
Dividends za last year; 15%
Then that’s one of the best Saccos juu yetu ilikuwa 12%
AKA nyala vision Sacco.
Eeh