Ok for the record the Joho was not there but the msg was loud and clear
https://www.youtube.com/watch?v=9A2mC4DQ2DQ
Yusuf Haji “kwendeni huko nyinyi vijana tokeni hapa hamna adabu”
Ok for the record the Joho was not there but the msg was loud and clear
https://www.youtube.com/watch?v=9A2mC4DQ2DQ
Yusuf Haji “kwendeni huko nyinyi vijana tokeni hapa hamna adabu”
Ile makosa kubwa Ruto did ni kusema “Bwana Yesu asifiwe” …angejua audience first
Being a politician hapa kenya you need a tough skin…u brave the hot sun and high temperatures, na risk AL shabab kupelekea watu mchango na maendeleo lakini unahaibishwa mbaya
Amerisk Al Shabab wapi hapo. Umeanza kuongea mbaya sasa
Haukumbuki Garissa uni massacre wewe…mnasahau haraka sana
Trust me, Garissa iko safer than Nairobi even when considering terrorist attacks
Chances of a nywele ngumu VIP being shababd in Garissa is much higher than in Nairobi
[ATTACH=full]73769[/ATTACH]
Hizo vitu ni chocha za media.
Kuna churches Garissa, kuna crusades oftenly
Senator Yusuf Haji Exclusive…with a soundtrack to boot
https://www.youtube.com/watch?v=eMWccqD6ca8
@spear alisahua kutuonyeshe hizi when he was posting hapa picha za maendeleo
Heeeh tuletee a cheki maneno exclusive from huko one of this days basi
hehehehe, N.E kameumania jubilee
Mmh looks like people don’t eat tarmac ([SIZE=2]JUBILEE DEV©) [/SIZE]in Garrissa.
NE votes zikiwa kidogo, Duale’s bargaining power inaeza kuenda chini. Already some RV senators and MP’s have shown their dislike towards him.
This makes me very happy. Uncle Machozi the killer of JACOB Juma is a not a freind of Kenya
Last time NE was Baba’s until dim-eyed walked around wariahs property claiming that baba akiingia lazma tulale kwa hizi hotel za foreigners. Na tufukuze hawa refugees tuchukue manyumba na biashara. It will happen sooner or later, wacha ombitho akuje awapatie confidence.
I am talking about Duale, chances are that he might not be re-elected, hiyo ingine siwezi kusema.
Hako kamama siku hizi kametulia sana. I bet she’s busy cooking some figures that will be released soon.
Joho hata kama ni chemist 2022 tunampea kura