john Sanga alikuwa ni mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua … Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme
UNAHISI MZEE SANGA KAUMIA WAPIII !!! TAFAKARI YA BABU !!!
Kwani our minister for agri is illiterate, Jana kaskia akisema every farmer must be sure the seeds he plants are satisfied by Kenya seed co.
Kuuliza tu.
Peace when u r oppressed is no peace, that old matapaka traumatized a whole generation of kenyans. Aende akikaukanga and may Lucifer have his way with him.