@ina_limbo as @mayekeke has put it kuna mawaks zinalipa poa hizo mitaa. I remember he made a similar suggestion here sometime last year and if am not wrong one @Twangapepeta took a leap of faith and I believe he’s doing well in Iraq.
kuna beshte yangu graduate alianza na job ya mjengo
A
Jamaa, sasa juu umeandika degree pekee, hiyo ndio? Watu wengi wanazo, but degree in what? If you need guys here to help you give details without hiccups.
Natafuta project manager , Mjengo business. 12 months contract - commitment minimum 4 days / week. Nyalgunga
Uyu jamaa ana attittude moja mbaya sana, mtu anaambiwa kuna works Iraq ata hajauliza details kwanza ashaanza story za bombings. Nani anakumbuka ule jamaa alicome apa akaanza kuandika mag ya Ktalk, si alipata job? Juu ya nini? Attitude msee. We fanya aje rudi ukalie mawe vizuri ile time utakua unasaka job vizuri ukam. Wewe sio manzi ubembelezwe
A few pointers zitasaidia, niko na mtu ana need wira mbaya
Hehehehe. Mtu unasaidiwa na mateke unapigwa ukiringa pia. huku hakuna kuombana!!! :D:D:D
@Twangapepeta ebu kuja kiasi utwambie hii Maneno.
Mimi naona watu wakienda Mid East after kuharibu Kenya pekee.
If your young niliambia watu Degree even I can make one for you, kazi ni attitude that is required
Reminds me of our own @Twangapepeta.
:D:D:D:D
Wamenitoa hibernation. Check the link below …
Mawaidha Tafasali - Business - Kenya Talk
Can link me na wasee wa huko…am open to suggestions.
budah usije kua judge na prosecutor case hujui…nmewai fanya mjei pia
najua msee amewahi kua huko but on US military camp na zilifungwa most. Do you know of any other biz uko?
would you mind if I PM you?
haha am covered on that end.
haha I love your attitude bro.
If you decide to go to the ME ujue it’s not the land of milk and honey, otherwise why are educated Syrian refugees who also share their religion flocking to Europe? Also, you’re a black and a Christian so your pay would be less than an Arab Muslim. I’ve been looking for a caretaker, your job would be maintaining grounds, planting trees and other odd jobs as need be. Salary 15k per month, if you’re interested.