Washika dau na need msee anafanya motion graphics…
permanent role or temp? I know a guy
@Deorro for a project… may last a month
Uko na logo?2d ama 3d
Nataka msee ata animate some moving graphics together with video editing… unaeza ama unajua msee anweza?
Video editing ni rahisi, kazi iko hapo kuanimate graphics. In short unataka kuanimate a part of graphics ama full animation?
hii?
https://www.youtube.com/watch?v=rDtHFVjiNgU
Ama ni ya vlog ama mix…
Kitu ya Ae na Element 3D, natoa background naweka your logo na graphics
Following closing.
Ksh/second of motion graphics?