Jiwe is a forbidden word in JT

Ukiandika neno jiwe JF zinatoka nyota kama zile zinazotokea ukitaja viungo vya uzazi. Ninadhani si muda mrefu kuna watakao fungwa kwa kumuita mtu flani jiwe.

Muda ni mwamuzi sahihi siku zote, tuwe na subira tutaona mengi na makubwa mno

Wameanza yale ya kipindi kilee jiwe alivyo chomoka na neno la kilaza,ilibidi tutumie ujanjaujanja kuliandika hilo neno kule jf ya bongo.

Uhuru wa maoni kule home jf ni wa kutiliwa mashakaa

Hivi na jina Jesca nalo bado limepigwa pini?

let me try to type!

bado iko sawa let us wait

Jina ajipe mwenyewe halafu wanaweka censorship ili watu wasilitumie! Ni upumbavu wa hali ya juu.

Ukweli mchungu…

Cc: @Mahondaw