Jiungeni Kwa Username Zilezile Kuleta Msisimko

Ninachokifikiria hapa ni kudukuliwa na hatimaye kutiwa nguvuni japo ni vigumu

Watu ndio wanachokihofia ndio hicho

mkuu mambo vipi naona uko ughaibuni

Hivi mshana jr kafanikiwa kuvuka Huku ngambo na chombo chake Kweli

Binafsi nimeongeza neno tz mbele ya jina langu na password sijaitumia ile ya jf,wasiwasi ndio akili
Nalog off

Nipo huku kwa miezi 3 sasa mkuu

Karibu sana mkuu

Salamu zimuendee malaika jiwe hakika utawala wake umefitinika.

nimetumia Facebook.kuijunga,lakini.ngoja kutumia browser nyingine,
mambo yakienda sawia nitabadili.

What is your request sir?

Your privacy is guaranteed guys, maybe much more than JFs, do your thing.

Ngoja mliwe vichwa.

Ukimbizini raha kweli. Catch new names like Mundu Mulosi, nadhani Mulosi mlengo wa Omundu khumundu. Mungu ibariki EA.

900 Itapendeza.

Mkuu huyo mundu mulosi ni mod sema yeye sio mwepesi wa kupiga ban

Are we allowed to change our user ID by any chance?

You have to send A request to one of the Admins, we have to agree as a team. Generally we don’t encourage change of handle coz sometimes it becomes too much.

Copy

Easy like Sunday morning Kenyatalk. Mubarikiwe majirani.

Mpaka kufika July kijiji chote cha jamii forum kitakuwa kimefika umu.
Wengine wamekuja na ndege,meli,mabasi, treni, pikipiki, baiskeli na wengine Miguuu

Nami ndo nahofia hilo,nkaamua kuja na ID nyingine

Sawa, mfanye namna tuwatambue maana mnatuchanganya unapokuja na kutusemesha kama tulivyozoeana kule JF ilihali bado hatujawatambua

Haina taabu tutarudisha Id zetu