@jirani

Nasikia wale vijana wako wameangushwa pale G4S, wapi picha?

@Meria Mata FUNGUA OFISI YA NAIROBI, SI MAMBO YA ATI OOOO FERRY IMEANGUKA HAPA KONGOWEA.

4 Likes

@mundu, Hao ni maboy wa huyu chokosh bukusu apo juu…muulize

You owe us an explanation. How did the chokosh resurrect?

Ferry ikifanya nini Kongowea?

ata ndio nashangaa

ni hapo karibu na taj mall, leo asubuhi

Na haukuchukua picha?

gari ya Mhindi ilikuwa inaenda mbio sana

2 Likes

Sarcasm at its best…

UNCLE TRAIN @The_Virus WHAT SARCASM MEANS