Habari ya matalkers hope mmeshinda poa mii nikuchill nikingoja kasolar kashuke
Nyeri Mukaro mvua imekuja na watoi…wacha nitafute marvin, halafu chai…
Woi @gashwin si utume hayo mawingu hapa clinic as I wait to see the doc…nkt nimeketi for 2hrs hapa I suspect hii joto imeniroast nanuka mbuzi choma
2 Likes
Lucky guys. Nyairofi solar ni excess ;)
tulia nitafute Mwithaga…
1 Like
Ati mbuzi choma hahahaha
APAN TAMBUA JIONI SACCO
1 Like
And yet you are here, vipi uncle?
1 Like
Poa omwami
Jua limeatua, mawimbi ya joto yakapanda!!
unakuaga watchman?
Haki chunga usiliwe na mafisi…
1 Like
@gashwin is good people I can bet he hang ufisi boots a long Time ago
1 Like
be wary of the fake facade…
Heee nimejichuna sikio
1 Like