Jioni sacco

Super bored.

kazi ni ku-open tabs na kuzifunga …
Inbox nayo imejaa blue ticks tu nkt.

alafu sa hiki ki neighbour kimepandisha volume ya system na nyimbo haziko… arghf**k

Issa heavy shitstorm this side.

kuishi nyumba ya mabati ni tricky sana bro…

Geukia panya iko karibu na wewe uiambie Tricky sana

sawa

Hiyo ni punishment ya kuwa member wa outlawed society yenye sitataja.

Leo siku iko down sana.

Usiitaje tafadhali