jioni sacco(TGIF edition)

Tgif matalkers najua leo mmeshinda poa so wale wako na kiu ya povu kaa mimi leteni mipango ya leo hapa disclaimer no sportspesa manenos here

Relaxing kwa beach enjoying the breeze. Huku kuna heatwave and this is the best way to beat it.
[ATTACH=full]34440[/ATTACH] [ATTACH=full]34441[/ATTACH]

4 Likes

Team 1824

NTSA wamesema kila mtu akakunywe kwao, hakuna kutafutana.
[ATTACH=full]34445[/ATTACH]

Malisters? Aii

Kiu iko,shida tu ni,kesho nafaa kua tao by six to restock,biz imeshika sana this week.
Other wise POPOV is my thing

1 Like

Swallow uko North ama South? Mi niko tu, hapa Diani Neptune nacheza na maji na kuskiza stori za Beach boys.

Nimeamua kukamata makali 0.25 kwa hao enyewe kusota ni real alafu bado kesho ni kurauka

North coast, two days ago there was no sea weed, Leo nashangaa kuona imejaa kiupus

Tomba ujinga