Jinsi ya kuruhusu kupata Taarifa (Notification) ukiwa nje ya JamiiTalk

Hello JT users,

Bila shaka mupo wazima wa Afya tele. Leo nitawajuza jinsi ya kupata taarifa mfano mtu aki jibu ujumbe wako, aki react, au akikutumia ujumbe binafsi (PM) ukiwa nje ya JT, lakini hii itawahusu Zaidi Watumiaji wa Google Chrome (japo na browser yingine zinaweza support).

Cha kufanya bonyeza ID yako (Your Account) hapo juu kisha angalia neno lililo andikwa Preferences bonyeza na shuka chini palipo andikwa Enable Push notifications kubali kwa kuweka tick (allow notification)
Au bonyeza hapa kwenda moja kwa moja https://jamiitalk.com/account/preferences
Pia kwa wengini ukiingia JT chini kuna ujumbe unauliza enable Push notifications basi kubali hapo moja kwa moja utakuwa tayari umeruhusu kupokea Arifa.

Hii inasaidia kupata Arifa ukiwa umeunganishwa kwa Mtandao na ukiwa njema ya JT mfano mtu aki reply ujumbe wako basi utapokea taarifa.

Ahsanteni Sana kwa kujiunga na JamiiTalk