Jinsi ya kukaanga kitimoto.

Tatizo la mafuta itakuwa unajitakia mwenyewe…unachotakiwa kufanya unachagua ili nyama yenye mnofu mwingi kama ya mapajani na baadhi ya mbavu unachonga hayo mafuta kwa ajili ya kuja kuichemsha kisha uirosti na ile unayotakiwa kupikia ndizi yaani tunaita machalari hii hata ikiwa na mafuta siyo mbaya.
Mfano hiyo ya ndizi unazichanganya na ndizi mwanzo mwisho ziive kwa pamoja na viungo vyote humo kny chungu.

aisee Usinitamanishe, hii kitu naipenda sana ila sijawahi kuinywa supu yake tu

Jumamosi na j2 unapokuwa home jaribu kupika vitu vingi kadiri uwezavyo bila kujali wewe ni me au ke hata ukienda mahotelini na kny migahawa ukiona msosi mzuri mwite mpishi akuelekeze namna ya kukiandaa hicho chakula.
Kuna kipindi niliendaga Japan kitambo kidogo nilijifunza kula misosi aina mingi sana ambayo huku tunaona kinyaa.