Jiji (Long read)

My elder bro came for me in the interiors’ of Mai mahiu,he said i was wasting away in the village yet i could be useful in Nairobi. My life was centred around the farm,milking,digging and chores here and there,but on the bright side i used to earn from working as a hired farmhand around the neighbouring farms so at the end of the day i had afew hundreds to buy the friends at the mungetho a jug of keg,life was good. Bro brought me back with him to Nairobi where he owned a small shop and i was to help him in runing errands and buying stock for the shopm, in turn he could pay me 200 shillings aday yet food and shelter was on him. i started hanging out hapo Ngong town stage kwa ‘vaite’ where i discovered chewing khat every evening when i was done with errands ,giza was my favourite mogoka proved too steamy for my liking,kwa Vaite is where i met my very great friends Kamaa, Pinches,Aleki and Dante who taught me alot and introduced me to other side hustles like carwash and kupewa squadi to earn an extra 200 or more .We met at Vaites for years,i recall one unforgetable evening when the boys decided to share how they each met their girlfies,Pinches went first,huyu msupa wangu ali hamia hii mtaa akiwa Campo bado,mtotoo maringo kuruka, mafisi wa mtaa hao! Si ata mimi na kujiamini nikajirusha ndani roho juu. nagotea mresh siku moja aksmama akanicheki juu chini ni kaa nilikua nimejipaka shonde na akainua,niliumwa mbaya! Mara ya pili akaniita stoopid! nikamchukia.Mtotoo likuwa marwa but alikua yuaringa ni kaa budake ni urezo,sasa siku moja kafala kakaingia nganya kutoka tao kakanilenga kaa kawa kutokea hapo Haile selassie kibeti yake vwap! ikapita na chokosh kwa dirisha mresh akabaki bila any ata nangos,kulia kila mtu ni pole tu na akuna mdhii anataka kumlipia nikamcheki nikamhurumia nikambeba sare,kutoka hapo akaanza kunigotea na kungoja mat yenye niko tunakam na yeye na kidogo kidogo nikamuingiza box kufyeka kumbe kalikua ka vajo! Kalinipenda hadi waleo!,Kamaa interrupts mimi pia wa mine alikua maringo hivo tu nikaamua mimi na yeye! Nilimuandama na kila njia mpaka nikaanza kubeba na kutreat mabeste wake wakanitetea sijai amini naeza shindwa kupata dame,siku ile alikam kejani mara ya fao nikaromance mtotoo mpaka akaisha nguvu nikamvua nguo alafu nikasmama nikamshow kumbe una ringanga na una senye kaa za wengine toka uishie, hakuamini nikarudia vaa ujichuje,manzi akishika kisu akanishow kaa simmangi anajidunga,boss kucheki fala ako serious nikatulia nikamkuta vitu na nikajipa tu,enyewe aliniweza. Dante and i were the only ones without chickidees and he stands and shouts sasa mbona ukwame na manzi mmoja na venye kuna wengi ! i voice my support but behind the scenes we all played but they all had their main chicks.Aleki the quiet one looks at all of us eagerly waiting for his story and he starts ''mimi huu mresh wa me nimempa heshma yangu yote na huyu ndio ntaoa. Ilikua tu hizi ma siku mtu huamka na maswara -he sips his coke-tulikua na Roba hio day kurauka nastukia mvua ilichapa deadly mnyt ma nyonginyo zote hakuna dry nilikua nimefua zote kiufala,nikadunga trao ya works nilistukia sikufunga belt nikiwa kwa ndae juu.nikasema nitabuy nikifika tao nganya ika nashu kama kawa ikabaki nimehang hii stori ya Michuki haikua izo ma daiz.saaasa sema blunder! Ndae imeteremka kutoka karen Mbio Roba akagonga pothole trao ya me chini! We burst out laughing remembering he had nothing inside! Sema wadhii kupasua! Niko juu nimehang so kichwa iko nje na msedes iko wazi kwa view ya kila mtu. Sasa ule dame alikua karibu ndio aliniinulia na akaifunga poa niko sure niliskia muthama flani akipinga ngemi uko ndani.kulipisha gari kila mdhii ni kupasua tu.Kufika tao nikatoka mbio kuingia kwa hoteli hapo stage juu ya ma aibu kumbe ule manzi alikua ameniinulia trao alinipa punch na akanifuata npaka kwa hoteli akisema change yangu wewe juu ya maa ibu nikamdunga change ya thao manzi aliniface akanikalisha down akanicheeki sasa na shindwa huu nini inamsumbua akanirudishia izo dooh excess na akanipa card yake.akaniishow ni call tubonge ukitulia.my friend manzi alinipenda hivo.akajipa na akajipa! We burst out laughing again Vaite stands up.Siku moja niko tao hata sijui nilikua kutafuta nini narusha macho naona kamusupa kasuri nazubaa.niko iyo area ya Kimathi nikasimama kama shoste naangalia huyu musupa akikuja amengara yake yote haki! Nikamsimamisha nikamuulisa mandam hambari yako? Aksalimika vizuuri na nikamuulisa mimi ushawahi niona? akaniaangalia akadai haninjui nikasema sawa na akaanza kwenda nikamfuata nikamsimashisha tena nikamumbia sasa si umenijua mimi sio stranger tena naitwa Salesio na haki umenifurahisha, ile smile nilipewa! Na mimi nilinyakua roho ya Mueni hapo hapo…this was one of the many days we shared at the base till one evening at the base we are suddenly sorrounded by 2 mahindras and a mariamu just out of nowhere. I try standing up.a heavy slap lands on my head i could practically feel my brain vibrate …

27 Likes

Tuko Al Jazeeera. Hii tutasoma kesoooo

1 Like

aise ukiweka paragraphs tutasoma

1 Like

nikiwa sober kesha aisee!

Chonjo

2 Likes

hehehe good so far…lakini ujinga ya story nusu…wewe!

2 Likes

Hehehehe iko seti aiseeh.

1 Like

hekaya iko yuu

1 Like

Freshi kabisa

1 Like

Hekaya iko fine nimecheka sana watu wanashangaa

1 Like

Nice…

1 Like

. FIXED

:D:D:D:D:D:D have 2 bottles of softa soda on my bill

1 Like

Nimeshindwa ku edit boss but still new with this

wazi.

Ni ndefu sana but ina kwuom soonest. Poa.

Poa poa.

sheng yao ingine ilinishinda kuichora.wazi mzito

safi kaka braza

Thumbs up