JF nyuzi zafutwa sana nini shida

mambo niaje wadau.
JF imekua niaje siku iz nyuzi zafutwa vibaya mno bila sababu.

Hadi twakimbilia ugenini.

1 Like

I haven’t visited that forum since Magufuli took a bow

Posts are overly-censored.

Tanzanians are bongo lalas

Aiiii unatupiga mkuki kabisa.
Aina mbaya tutakaa poa.

2 Likes

Are you a bot or a real human bean?

1 Like

:smiley: Umewahi sikia wapi bot anaota ndoto?

Suluh_u! Amekuwa dictator :grin::grin::grin:. One thing I love about Tanzania is huwezi ibiwa na bei ya pombe ,food na hotel ni cheap kama ghaseer. Ukiwa na 100K ksh you will have a time of your life