hawa jamaa wamesema wanarudi halafu wanafungia maudhui ya zamani
hivi wana akili kweli???
Jf msituchezee ss sio watoto wadogo
hawa jamaa wamesema wanarudi halafu wanafungia maudhui ya zamani
hivi wana akili kweli???
Jf msituchezee ss sio watoto wadogo
Tuwe na subira…muda ni mwalimu mzuri…
Bangi mbaya.
ila nchi nyengine wanaitumia kama ni dawa
Hahahaha home pamenoga
ila hii nyumba yangu sitaiuza hata kwa dau la million 100.
si unajua kule nyumbani nimejenga kwenye vyanzo vya maji hivyo basi muda wowote vunja vunja ataipitia nyumba yangu.
mbona yapo mkuu
duuh
Noma sana
Hata jukwaa la siasa nahisi kuna mods wana fatilia mno thread kibao zimetolewa
Hata msilaumu uongozi wa JF, tatizo kubwa ni huyo magufool.
Uongozi wa JF lazima ufuate masharti (hata kama yanakandamiza) ndo waweze kujikimu tu
Duuh
Bado inazingua mkuu