[FONT=verdana][SIZE=5]Dk Shein ateua mrithi wa Jecha ZEC kwa mawazo yang[FONT=verdana][SIZE=5]u[/SIZE][/FONT],Ili kuepusha malalamiko kwa wadau wote wa Siasa lazima ka[FONT=verdana][SIZE=5]tiba ya Tanzania ibadilike,Mwanyekiti wa tume ya uchaguzi na Mwanasheria mkuu wa Serikali asiteuliwe na Raisi bali ateuliwe na Baraza la wawakilishi kwa upande wa Zanzibar na Bunge kwa upande Tanzania Bara…[/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT]
[FONT=verdana][SIZE=5][FONT=verdana][SIZE=5]Waswahili wanamsemo uanosema “Kama Mwizi Msomali na Hakimu Msomali haki tabu kupatikana”[/SIZE][/FONT][/SIZE][/FONT]
Toa sababu kwanini Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiteuliwe na Rais wakati kazi yake ni kumshauri Rais??. Nakubaliana na wazo la mabadiliko kuhusu upatikanaji wa watumishi wa Tume ya Taifa ya uchaguzi kwasababu tume ni kama referii ambaye kimsingi hawezi teuliwa na kocha wakati timu ya locha nayo ipo uwanjani inacheza. Lkn hilo la mwanasheria Mkuu nahitaji maelezo tafadhali.
Inawezekana kuwa Mwanasheria mkuu wa serikali moja kati ya kazi yake ni kumshauri Raisi,lakini kumbuka kuwa huyo ni Mwanasheria wa serikali sio wa Raisi,Serikali kwa Zanzibar ni Baraza la wawakikishi…kumbuka vilevile Raisi anamchagua waziri wa sheria,Waziri wa Sheria kazi yake inaweza kuwa kumshauri Raisi…
Nchi ya Colombia mwanasheria mkuu wa serikali anachaguliwa na Bunge…kwa nini isiwezekani Zanzibar au Tanzania kwa ujumla,kwa ulalamishi na ung’ang’aniaji wa madaraka unaofanywa na viongozi wa Afrika,kwa muono wangu ni vizuri Mwanyekiti wa Tume za uchaguzi vile vile asichaguliwe na Raisi,achaguliwe na Bunge au Baraza la wakilishi kwa Zanzibar
maoni yangu ni kuwa tunahitaji katiba mpya ipitishwe…tatizo la ccm ni kuwa wao wanaangalia matumbo yao pasipo kuangalia manufaa ya nchi…leo anaibuka waziri from no where na kumpongeza youssuf poulsen kwa kusema tanzania tuna goli moja world cup…how comes??? hv tunawezaje kuwa na goli moja world cup wakati hatushiriki??? tunajivuniaje yousuf poulsen kwa kucheza denmark wakati angeweza kucheza timu ya taifa ya tanzania endapo tungekuwa na katiba inayo ruhusu uraia wa nchi mbili???..adui wa tanzania ni ccm…na watu wa kuiondoa ccm madarakani ni sisi wenyewe…2015 wametuonyesha kuwa hawato ondoka kwa njia ya uchaguzi huru…sasa tutafute njia nyingine iliyo halali kuwaondo watu wahawa
Nakubaliana na wewe,Mkuu.,Lakini sio wao CCM wenye uwezo wa kuwaamulia raia nini wanataka,raia tunaona vipi mamlaka hizi mbili zinavyowanyima haki zao wananchi,yote yanatokana na kuwa hivi vyeo viwili na Raisi…
Ni ukweli usiopingika kwa jinsi hivi vyeo vinavyochaguliwa,wanaochaguliwa wanafanya kazi kwa raisi sio kwa kulinda katiba na matakwa ya wananchi,Kama baraza la wawakilishi au Bunge ndio litakalo wachagua Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na Mwanzsharia Mkuu wa serikali basi basi nina uhakika dhulma na matatizo mengi yanayotokea kabla na baada ya uchaguzi yataondoka