Je??? Utafanyaje iwapo unampa Demu wako Pesa halafu naye anampa Bwana ake ampendae?

Tena akimkuta live anakulwa ataanza kulia halafu jamaa linanalomkula likiondoka utasikia ‘pole mpenzi wangu’

He he ndio huyu sasa

Tutamtenga anaaibisha kizazi cha kiumeni

hivi sikuhizi wapo wa hivyo kweli??

Tena siku hizi ndio kuna wanaume wengi mapoyoyo, zamani kulikua hakuna ujingaujinga huo

Kwelii eehh?

Una mla tigo kiroho safi

Duuh!

Inabidi uongeze dau, maana sasa inakuwa unahonga watu wawili.

Mimi nikijua hivyo Kwa sababu ni jiniasi basi nikimnunulia chupi Hugo Demu nanunua na boksa ya kumpelekea huyo dume mdebwedo basi heshima inaongezeka ninakuwa bwana wao wote wawili.na muonga Demu wako na wewe mwenyewe wote nawaudumia because iam a real man

Yaani hawa ndio wanadhalilisha kundi la wanaume

Unachat ghafla kumpa Bila sababu yeyote na unatafuta demu mwingine,ila inauma

Unampa hela nyingi halafu unakaa ghafla

hahahaha tusaidiane hayo maamuzi magumu mdau

hahahahaha

Duh

Hapo Mkuu fanya umwambie amlete Jamaa ake ukae nao wote

Nawawatch

Hii inaitwa mbwa kala mbwa

Yanahitaji moyo mkuu, jipange ipasavyo