Kwa heshima na taadhima, leo ningependa tuongee jambo hili kwa utaratibu. Tuambiane ukweli mtupu ili uongo ujitenge.
Sio maoni yangu lakini inasemekana kwamba kuna uwezekano mkubwa Mwanamume kukubali kuishi na mwanamke ambaye hana kazi na pia kumtunza kwa zaidi ya muda wa miaka Kumi bila kulalamika, lakini mwanamke hawezi kamwe kuishi na mume asiye na kazi na endapo mume huyo endapo afutwe kazi basi kijiji chote kitajua. Ni ukweli ama uwongo?
Ndugu @Ngule hapo umeleta mada la maana sana. Kwa maoni yangu naona kuna hekaya itabidi ulete kuhusu hili swala. Pili hawa wanahawa wanataka equality lakini hawafuati katiba ya usawa ama namna gani @Mrs. Kuria
We in this generation have really gone wrong somewhere. Yasterday i met an elderly couple…you could tell they still love each other ata kama the old man would call his wife…“wewe ksiksi, kuja…” hehehe and the wife would help the man arrange some stuff he had carried. They completed each others sentences. I really admired them…and i can only ask to be blessed enough to have what they have in my old age!
Lakini kukujibu swali lako…these mbiches aint loyal…unalala kama umefungua jicho moja ukijua unaweza kuwa unajaribu kufuga kunguru…inaweza peperuka wakati wowote!
pale ambapo unapata mwanamke anakulisha inakua kwamba mmezaa nayeye. Hilo ni swala la uzazi tu, sio lazima mke amvumilie mumewe katika panda shuka za maisha. Kwa kisaikolojia, jinsia ya kike inaongozwa kwa sana na vile anvyohisi katika huo wakati. Pia mwanamke yuapenda sana kuomba usaidizi wa kimawazo kutoka kwa shoga wake. kwa hivyo ukipata umechengwa ,unatulia. Unamwomba mola akujalie kazi kisha utafute mwanmke mwengine.
Swali lako ni la kizushi, Ama kweli binti za Adamu ni viumbe wakimaajabu, kama walivyo sema wazee walionitangulia, Wanadada wengi kwa tabia za kiasili ndio walikuwa wakichumia jamii, kwa ukulima ilhali Vijibaba wananusa ugoro na kubugia mvinyo, Kisasa Mashambani aghlabu wamama wako vile vile kama enzi za jadi. Mjini na sehemu za nchi zenye zilizokumbatia mamboleo Dume bila mfuko si dume, Wanakejeliwa Dume suruali.
all in all a man without means is no Man, I have seen men who are like furniture’s in their own houses since the missus earns more than they do.
Ngumu sana. The woman will head swell and men like their pride as being a provider. So, while a woman will provide, hawezi fanya na roho moja, anaeza kudharau sana and you risk becoming a doormat. For the guy his ego becomes quite bruised
Wasiwasi wako ni nini? Iwe insha iwe biography, hujalazimishwa usome. Naandika kwa raha zangu na kama ni chungu tema!! inakuhuu sio? basi kwa taarifa yako kama wakereka ingia ndani ya chupa ya Mirinda alafu utoe miguu useme Hurray!!
Before I put in my thoughts on the matter… while i’m at work will he be the one to clean the house if need be? Cook if need be? Pick the kids from the stage? What exactly is he doing in place of normal office work?