Je, Inapasa Kufanya Ghuslu Baada Ya Kutokwa Na Manii Bila Ya Kujimai?

[SIZE=6]SWALI: Asalam alaykum Naomba kuuliza ikiwa mtu na mkewe wanaongea kwa njia ya simu na katika maongezi yao yakaja maongezi ya kutamanishana yaani maongezi ya kimapenzi… ambayo maongezi hayo yakasisimua hisia hadi yakamfanya yule mwanamme kutokwa na maji ya uzazi na mwanammke hali kadhalika, suala langu linakuja hivi kwanza yanakubalika maongezi hayo pili kama itawakuta hali hio ya kutokwa maji wanatakiwa wakoge janaba au wakoge kikawaida tu? Ahsante[/SIZE]
JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu [ATTACH=full]255072[/ATTACH]Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho Hakuna vibaya mtu kuongea na mke wake katika simu na kuzungumza maongezi ya mapenzi kwani huyo ni halali yako, kwa hiyo hakuna tofauti ya kuongea naye kwa simu au unapokuwa naye. Inapofika hali hiyo uliyoitaja ya baada ya mazungumzo na kutokwa na manii japo kuwa hukujimai naye mke wako, inakubidi ufanye Ghuslu na hii ni kutokana na dalili ya Hadiyth ifuatayo, kwamba Ummu Sulaym رضي الله عنها alimuendea Mtume صلى الله عليه وآله وسلم akamuambia: “إن الله لا يستحي من الحق فهل على المرأة من غسل إذا هي احتلمت” فقال صلى الله عليه وسلم : " نعم إذا هي رأت الماء" “Ee Mtume wa Allaah! Allaah Haoni haya juu ya ukweli. Je, mwanamke inampasa afanye Ghuslu pindi akiota?" (Akiota ndoto ya kujimai) Akasema: ((Ndio, anapoona maji)) (Al-Bukhaariy na Muslim). Kwa kupata maelezo zaidi kuhusu mas-ala haya tafadhali soma jibu la swali katika kiungo kifuatacho: Ikiwa Mtachezeana Tu Na Kutokwa Manii Inapasa Kukoga Josho? Na Allaah Anajua zaidi.

:D:D:D:D:D

i though that আকামুয়াম্বিয়া: ‘আল্লাহ সত্যকে নিয়ে লজ্জা পান না। স্বপ্ন দেখলে কোনও মহিলা কি ধোয়া উচিত?’ তিনি বললেন, 'হ্যাঁ, যদি সে জল দেখে kumbe
Жасауға әйелді Майлз мүмкіндік берді оған жасауға толық әбу бәкір (р ұмытыңыз кезінде забросе? I am shocked!