Je!? Bado unahisi siasa hazikuhusu?

[SIZE=5]I[FONT=book antiqua]lishakuwa kawaida kwa watanzania wengi (hasa wanaojifanya wapo makini sana) kuona kuwa kufuatilia mambo ya siasa ni kupoteza mda,
Na wengine wengi kuona siasa ni kwaajili ya watu fulani wasio na shughuli ya kufanya!
Kundi hili la watu wamekuwa hawajihusishi kushiriki kwenye uchaguzi na hata wanapotoa mawazo wengi wamekuwa ni watu wa kuona tu kuwa “kila kitu kipo poa

Hoja mbadala zilikuwa zikionekana kama za watu wanaotia chumvi mambo!

Well, sasa ni mwaka wa 3 nchi ipo chini ya Jiwe!

Nadhani ni mda muafaka kuwauliza watu hawa,

Je, bado mnahisi siasa haziwahusu??[/FONT][/SIZE]

Neno kabisa
Siasa ndio kila kitu na ndio hata tonge la kila siku aisee

Sasa imekuwa dhahiri zaidi…

sababu watu makini wameignore siasa ndio maana tunashuhudia bungeni tunaamuliwa mustakabali wa maisha yetu na watu wenye akili ndogo kama msukuma,lusinde,jenista mhagama,nkamia,mlinga na maccm wengi wa aina hiyo

[FONT=tahoma]Hakuna namna mtu anaweza kusema siasa hazimihusu siasa ndo zinaendesha Dunia.[/FONT]

Kilichofurahisha kwasasa,
wale wote waliokuwa wanatukejeli na kujifanya wapo “neutral” wamenyoosha mikono juu

Na bado Jiwe anazidi kukaza uzi!!

Mimi mziki wa KOROSHO ndio unanifanya nione kwamba kweli hakuna aliye salama…SIASA zimekuwa balaa kwa sasa.

Hivi huyu Jenister amechaguliwa na wananchi au ni v/Maalum. Maana yeye sauti yake naisikia akiomba mwongozo na kanuni. Najiuliza hapo Mbungeni kaenda kusimamia kanuni au vipi? Au ndio anataka uspika? Halafu ukiongea sauti yake haina hata ladha ya kusikiliza.

Hata Kama hufuatilii Bado zitakuhusu tuu

Naona sasa akidi inaanza kutimia, nafurahi sana ninapowaona Great Thinkers wa JF huku ukimbizini… Karibuni nyabhingi na jouneGwalu

Kila mtu anaisoma namba…ila siwezi tena kupiga kura

kachaguliwa na mazombie ya huko ruvuma
sauti yake inakera balaa,akiomba mwongozo utadhani kuna cha maana anakuja kuongea

Hivi hii pesa ya korosho kwa nini hawataki kuitoa?

dola ikifika 5000 ndo watashtuka.

Itakuwa ishaliwa isivyo kihalali, sasa wanataka kupitisha sharia iwe halali…SIASA zetu ni balaa.

Vijana wa huko ruvuma waamke. Duuu hii ni aibu kabisa. Yeye ni kukwaza mwenzie tu. Wakati wanaongea mambo ya Kweli.

Hawa watu wa kusini sijui wananini masikini, ukimwangalie waziri MKUU si katoka huko huko amefanya mpaka mwenzake kalia Kwa ajili ya hela za korosho. Wangekuwa ni ndugu zangu Wachaga ngumi zingetembea Kwa Kweli.

Hili litakuwa ni kosa kubwa sana

Katika ulimwengu wa sasa siasa ndio kila kitu

Well said

kwa hizi siasa za maji taka za kupima samaki waliopikwa kwarula?sijafikiria bado