@jazzman..a shujaa song for him

Read this thread kama wimbo ile ya Kenyatta ya “woi woi…ilikuwa siku moja”

begins here

Ilikuwa siku moja jazz mani aka join ktalk

alikuwa mtu polite na hatusi mtu

Alitupatia KODI na other softwares

siku moja ikafika mungiki fulani akaanza mchokaza

ule mungiki alikuwa @Motokubwa

jazzmani alicheza chini kwa muda mrefu

mungiki akaona nikama amepata mtu wakuchokoza

woi woi woi mungiki haikujua ile inakuja

jazzmani akaambia motokubwa acheze chini

lakini ghasia haikuskia…

iliofuta ni mungiki kupewa R.K.O

woi woi woi

mungiki iliangusha meno brown zote

Jazzmani haku malizana na yeye…

mungiki ikapewa suplex kama tisa brock lesnar style

woi woi alikuwa analia sasa

Jazzman akamaliza ghasia na tombstone ya undertaker

woi woi woi mungiki alikuwa R.I.P

ule mungiki akakimbilia ma admins na akasema Jazmann afungwe gerezani

woi woi

mzee wetu jazzman bado ako jela

tunaomba awachilwe

woi woi woi

https://www.youtube.com/watch?v=zPm5y2FLN6E

@Grundy midget amekumiss

:D:D:D:D:D… maigot! i c@nt believe nimeimba ii ujinga na ika flow.well done!

@ jazzman ghasia

Leo Umebakisha kilo ngapi?
Leo niaje hauja post matukio za sub county?

:D:D
Wacha chuki boss

kamidget unajua mkiwa na jazameffi mlijaribu kuni expose mpaka google ikanijulisha?mngejua kiherehere ndio iliuwa pakaste

:D:D:D:D:D:D. I think yuko hapa with another handle. But I loved his contributions.

ulicatch after alitusi mathako LOL…si kwa ubaya mungich mother yako ni ukweli alituacha? nishow

kamidget wewe na ni my tiny friend mbona usinitumie maeuro nijinice vile nimeumia mguu? Mathe bado ako ,na sio uafrika kutusi mtu na mamake

ujawai pona mguu? una ukedi ama? mimi sio midget…stop calling me that…any way unataka euro ngapi and am serious…ghasia

@Jazzman ni mafwi in my eyes