jana mimi na maboyz wangu tumepigana na waArabu

jana tulikuwa tunawasha kejani tukiwa mimi na maboyz wangu Sanchez na Blaze. Kidogo pombe ikashika tuka decide to venture outside. Tukapita mkahawa fulani ya waarabu ambaye wanaoshena live footie na kuna shisha. Kulikuwa waarabu wamekaa hapo nje…wakatuuliza kama tuna bhangi tuwauzie. Blaze ali catch feelings ako washow sisi si drug dealers…na ati hao ni racists juu wanafikiri kila nyeuthi ni peddi, Mwarabe fulani akarusha matusi ati Du Hürensohn<—hii ni kusema son of a bitch. Sanchez akasema “wie bitte, was hast du gesagt”<–hii nikusema ati nini, umesema nini tena. boy ikarudia hio hio matusi, out of nowhere Jay alirukia mwarabe two hot slaps na tukajipanga ready for battle…zile za kamuni na tukakunja mafist. waaaaah maboy walitushow ngojeni kidogo…waaa wakaingia ndani ya shop…waaaaaa walirudi kerende ya mtu kama kumi…manze mimi ndio wa kwanza kurukiwa…nilipigwa sweep …mimi chini…waka anza kuninyeshea. sanchez akajaribu back up lakini pia yeye alilemewa. Blaze alikimbia akapigia makarao. Makarao hii mtaa hureact fasta fasta. with in 1minute tunaanza kuskia ma siren. Waarabu wakatoka mbio.

Police walikamu na ambulance…mimi na Sanchez tukapigwa 1st Aid…i was bleeding kwa maskio…wakatupiga 1st aid alafu wakatuuliza kama tunataka twende hosi ama tuko sawa…tulisema tuko sawa…tukaenda baesa tuka kunywa…sai ndio naamuka. Blaze amenipigia simu anasema tujipange tu raid hao waarabe leo. Tunakamu na jeshi yetu ya wakenya…apana tambua takataka-

[ATTACH=full]21013[/ATTACH]

4 Likes

Don’t declare war if you cannot sustain a fight!!

2 Likes

Unapogwa sweep na mwarabu?

Picha ya waarabu, ya fight, ya first aid, ya injuries, ya makarao, ya ambulance … In that order

4 Likes

:D:D:D:D:D:D KWANI NI KCSE PRACTICALS ANAFANYA

1 Like

picha za vita ya leo mtapata…thats fosho…stay tuned

walikuwa wengi khocha

Kwanza hakujibu kama ako na wife Germany (Kangemi).

AKO GERMANY YA DANDORA SI KANGEMI

2 Likes

nimeskia tu kupigwa, si kupigana…

5 Likes

Kwa hivyo makarao wenye walitokea ni wa Kinyago? :eek:

he he he,ati chokosh ameumizwa?

1 Like

hapo mlipigwa jay na mnaanzishaje vita na waarabu kwa restaurant ya waarabu? Ni kama kuenda Riyadh na ku shout screw Mohammed hapo si nitatoka na kisu kwa mgongo

4 Likes

Umeongea aje Na Blaze kwa phone Na maskio yako imefura? Loudspeaker?

2 Likes

CHOKOSH MIJINGA

kwani @Jirani unaendesha malorry pia Saudi?

ihnen zeigen, Jay! traf den Arsch und ficken sie in den Hintern

NIAJE MAKENDE

hund