Inavyosemekana JF itarejea muda si mrefu, ila kwa mada nzito za kisiasa na za kuchoma zimepata sehemu mpya, JF ikirudi masharti yatakuwa makali kwa zile habari zisizopendwa na (SIRIKALI) na kupelekea watu kuzileta humu jamvi la ugenini.
jf itabaki imara kwenye majukwaa yote kasoro la siasa.
Nikweli
Sawa ila na huku tutaendelea kuwepo pia
Haitakuwa imara kama awali, Majukwaa ya Chit chat na MMU na Burudani ndio yatakayokuwa hot.
Wamempiga chura teke kumbe wamemuongezea mwendo. Huku KJF ndiyo wataumizwa kweli kwa post kali ambazo JF original haitazikubali.
Mimi nachoona wamejiharibia tu kuweka sheria zao kandamizi.
Ivi uku nako hawawezi kuja nauliza wataalamu wa IT
mods wa kenya please msiiondoe jf ya hapa,tupo huru hapa zaidi
Fact
Kama itakuwa hivyo basi wale wachangiaji mada motomoto wanatakiwa wasitumie majina sawa huku Kenyatalk JF na yale ya hiyo JF mpya (censored).
Mambo yote huku huku, nikirudi kule lazima nijiunge kwa id mpya kabisa
Huku ni full nondo za ukweli.
Lakini wengi wenyu mnatumia majina mnayoyatumia kule JF. Kwa hivyo mod was JF akiona umefungia uzi mzito hapa Ktalk anakupa ban pale JF.
Duuuu Bikra ghafla nilivyoona hiyo picha yako na point ya kuandika imeyayuka aise:D:D:D
MODS WA KENYA TALK HIYO JF YA TZ IKIRUDI TAFADHALINI HAPA MTUANZISHIE KITU KINAITWA TANZANIA FORUM…MAANA JF ITARUDI IKIWA KIWETE TENA ILIYOPATA BRAIN CONCUSSION,WALE NI BUSINESSMEN WANA SPONSORS,IT WILL NEVER BE THE SAME AGAIN
Jf itarudi na mimba
Nalog off
Inawezekana ikawa hivyo…
Cc: @Mahondaw
Jf itarudi ikiwa kama mtu aliyenyeshewa mvua…
sure
Turawasema kwa kuwasifia style hao miungu watu ambao hawatakuja kufa
Wakikujibu naomba unitag