Jamiiforums ikirudi nitacopy threads zote naamishia humu kwa manufaa ya baadaye

Jf ikirudi sitakuwa mchangiaji kule nitakachofanya nitakuwa nacopy thread na kuja kuijadili huku maana sidhani kama kutakuwa na Uhuru tena.

Pia nitacopy threads zote za maana na kuzileta huku (hapa ni vema wote tufanye hivyo) kwa manufaa ya baadaye hata Jf inakuja tena kupotea(siombei litokee) lakini kuna threads tunakuwa tunazipata humu.

Yale material yote ya Jf ni lazima yote yahamishiwe humu.

Mimi nitaendelea kubakia huku huku.

Ni vyema.

jf ilikua ni google ya bongo, ukigoogle neno papuchu au gegedo hulipat popote dunia hii zaid ya jf

Sasa na Mimi ndivyo navyotaka hivyo , siku moja itokee na kwenye KT.

Mkuu umewaza kama mimi, asante sana.

Hahah!! Muhimu sana maana kulikua na nyuzi kama Movie mule unatamani kuzirudia mara kwa mara

Sawa mkuu

Ishu sio threads ishu ni wachangiaji…wachangiaji wa JF ni wengi sana

Hongera mkuu

JF ni zaidi ya elimu,ashindwe malaika jiwe anayetaka turudi kwenye ujima.

:D:D:D:D

Once bitten twice shy

JF ikirudi sidhani kama nitaingia huku tena.

Utakuwa umefanya jambo la mbolea
Nalog off

Kila mtu na maamuzi yake…

Cc: @Mahondaw

Mdomo wangu umebaki wazi aiseeeee…

hahaaaa mkuu hv huo n mdomo au pango la amboni,

karb nilishangaa kama na wewe hii forum hukuijua au?

Asante kwa kunikaribisha mkuu… Hili chimbo nimelipata last week, sema niliamua niusome upepo kwanza kabla ya kujisajili.

hahaaa unaogopa kupelekwa lumumba?

Hahahahahahaaaaaa

Kama kawaida yako