JamiiForums haijahamia Kenya,hili ni jukwaa tu...

Jamaa anajipanga kuleta malaika wake na huku pia

Aiseeee siamini kabisa kama naitwa mkimbizi

Tutaenda Forum ya Zimbabwe au Uganda.

Hatuzuiliki mkuu.

Ha

Hata Syria tutaenda tu

wakimbizi ktk nchi yetu

Hahahahahaahahah

Ndiyo sisi hao hao

mara ya kwanzi nilijaribu kulogin kwa kutumia account ya JF, nliposhindwa nikajua hii sio JF pure

Tafsiri yoyote iko poa, la maana ni kwamba sisi tushafika hapa, asanteni kutupokea na mizigo yetu

Msisahau kutuhamishia na lile jukwaa letu pendwa na “wakubwa”

hahahaah, wakilileta huku uni “tagi” tehe tehe tehe

usijali, naamini watasikiliza kilio chetu