Jamii Forums yakanusha kuhamia Kenya

@The Tweet kama Moderator wa humu ndan naomba maeelzo juu ya kanusho la Jamii Forums kuwa na uhusiano na nyie, Katika Moja ya Post za BBC Swahili Instagram ikisema kwamba Jamii forums imeibukia Kenya baada ya kufungwa tanzania,
Lakin kwenye Post hyo hyo Macdmelo ambae ni mmoja wa mmliki wa JF Tanzania ameandika “Hatuna uhusiano wa aina yoyote na walioanzisha 'Jamii Forums ya Kenya”. Sisi tumesimamisha shughuli zetu kwa muda na tunawasisitiza wateja wetu kuwa makini na mitandao itakayokuja ikiwataka kuweka data zao katika nyakati kama hizi" mwisho wa kunukuu
So kwa msaada tunaomba ufafanuzi juu ya kanusho hilo na msimamo wenu kama Kenya Talk

Msimamo upi unaoutaka? Maxence Melo amekanusha, that’s all…

Kwa wale waliofika humu tangu jumatatu walikutana na “Tanzanian News and Politics” instead of Jamii Forums.

Lakini baadae wengi wao walianza kuomba majukwaa ya JF yote yawe humu.Hivyo uamuzi ukafikiwa kuwa jukwaa la Watanzania liitwe ‘Jamii Forums’ na liwe majukwaa yote muhimu.Hivyo si sahihi kusema JF imehamia Kenya.Ni Jukwaa tu.

Kuhusu kanusho hili,nimeisoma habari katika The Citizen,Max amesema ameshasikia na kuona.Ila hawezi kufanya chochote.

Mpaka kufikia jioni tutakuwa muafaka wa nini cha kufanya,ama kubadili jina au lah!

JF ya KenyaTalk ni jukwaa tu wala halina “uhusiano” na kina MELO.

Asante Sana kwa ufafanuzi @The Tweet

Hapa tunaegesha tu kwa muda
Nalog off

Imeeleweka vyema…

Wakati unajiunga humu mkuu hukusoma terms na policy zao!au kama kawaida yetu fasta fasta una accept kila kitu ili mradi utumbukie ndani halafu baadaye unajiuliza utatokaje…??

Tupo ukimbizini tuweni wapole…nyumbani kwetu tutarejea mambo yakiwa sawa

huku ukimbizini aseeh…ama kweli yajayo yanafurahisha…

Acha wakanushe sisi wafuasi tumepitisha