Jf irejeshwe tu kama zamani
Hiyo mitandao mikubwa imefanikiwa pia kutokana na kutokua na sheria kandamizi kweny mother nation zao
Niko
Niko kiambuu hahaha
Haa haa msogee na hapa KCA survey Chomazone thikaroad
Mmmh mambo magumu
Kama Yuda alijua anataka kumsaliti Yesu ni kwa nini alimfuata na kwenda kumbusu!! Wasaliti rangi zenu tunazijua!!
Hawana uwezo huo.na hata wakijaribu watashindwa tuu.maana wataongonzwa na kaulimbiu ya kuunga mkono juhudi za jiwe
Huku umekuja kufanya nini? kaanzishe forum yenu inayo jadili mnavyo vitaka kwa namna mnayo taka, otherwise ni upuuzi mtupu.
Hahahah kumbe wapumbavu wamekuja na upumbavu wao huku
Nawe ushakuwa “sinia” villager tayari? Amakweli yajayo yanafurahisha
me elder kabsa babu
Dah… we kiboko. Umemzidi umri hadi babu?
Hahahah
yeaah we bado kachanga humu
Wewe ni K…unatumia tuu jina la M4C ili uaminiwe…ila kila siku una saini buku saba…nyambafu…kawadanganye Kule JF tz siyo hapa jfktalk…hapa tuko amplified… tuko juuu…tuko aware…
Ahahahha babu habar za masiku tele
Niko poa. Naona ushakuwa mwenyeji vijijini mwa watu…
Ahaha ndio babu
K ni K tu hata wewe ndo ulipotokea na unahangaika kurudi kila siku! Jibu hoja sio kujifanya mjuaji, wakati hujui lolote
Mpe hi zake nyingi sana sana mzee wa adjust