Jamii Forum kurejea rasmi leo.

[ATTACH=full]180845[/ATTACH]

Baada ya kujaribu kuingia leo ili kupitia baadhi ya madini ya humo ndani huo ndio ujumbe niliopewa.!

Kudadeki
Lakini kwa mashart yapi?

Mkuu bado hawajayaanisha, ngoja tuwe wapole Kwanza.

Kwa sharti la kumtukuza rais jiwe tu

Huku patabaki kuwa chimbo la matusi

Kurejea sio inshu je kwa masharti gani???hapo ndio watu tunasubiria,

Wangeweka na tarehe kabisa kuwa,leo tarehe 1/7/2018

Kweli kabisa maana hata ikifikia kesho ni vilevile.

If they are coming back with conditions nawapa pole, we have found a sanctuary in Nairobi.

Hivi mwigulu kapangiwa wizara gani?,au ndo katumbuliwa?

jf wapuuzi tu wale sasa wametuzimia maudui ya zamani kwann???

Stop ya kwanza terms and rules…

Iko hewani saizi full

Tayari imerejea kama kawaida

Tuwe wapole…

Cc: @Mahondaw

Imetusaidia sana kuondoa stress

Na melo kaulizwa sana juu ya swali hilo.japo yeye anaonekana kusema kua kila kitu kiko sawa.na huku akisema wametimiza masharti ya tcra.

Akili kumkichwa ukizubaa utaliwa.zakuambiwa…?.in jk voice

Nyie tangulie ntawakutaaaaa

https://www.jamiiforums.com/threads/jamiiforums-tumerejea-baada-ya-kutoweka-hewani-kwa-wiki-3.1452491/