Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145

Batch no. 2 imetoka.
Tutaelewana tu

Baada ya kuwafikisha Mahakama ya Kisutu leo watanzania 98 akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) kwa mashtaka ya Uhaini, Jamhuri imeongeza idadi ya watuhumiwa wengine wapya 47, hivyo kufanya orodha ifikie watu 145.

Treason(Maandamano) 3 batch..pdf (2.3 MB)
Treason (Maandamano) 4 Batch.pdf (1.5 MB)

Ongezeni wafike hata Millioni tano, but mujue Chama Cha MAVI (CCM) kinachukiwa na muda wake umeisha. Change is coming.

REGIME CHANGE IS COMING BEFORE 2030. FUCK SULUHU. KENYA ILIKUWA HIVYO 1990/1991.

CHANGE IS THE ONLY CONSTANT, STALIN, MUSSOLINI, MOBUTU. WHERE ARE THEY?

You really need to disappear back to your CCM base ..

Good Tanzanian Citizens are being buried for demanding their freedom of Expression..

https://x.com/KenyanSays/status/1986686923432186341?t=PwpBA-NFtf5ciuYwxaBeQQ&s=19

Mbuzi Kabisa Wewe..!!:enraged_face::hot_springs: