JAMES LEMBELI ANAMDANGANYA NANI?

Wakati akinadi kurudi kwake ccm ametoa sababu mbalimbali lakini kwa gazeti hili na kuwepo kwa habari za kupigwa mnada ni dhahiri kuwa aliuhadaa umma uliokusanyika kushuhudia kukatwa kwake mkia kabla ya kurudi zizini.

[ATTACH=full]175861[/ATTACH]

:D:D:D:D

Inawezekana ukiwa nje ya CCM, makosa na maovu ya MTU hujulikana lakini akiwa ndani hufichwa maovu yake

TUmbo Mkuu. Likiwa tupu, utasema kila lugha.

Huo ndo ukweli,wachache sana watavumilia mikiki na mateso ya kuwa nje ya CCM.

na kwanini ufe njaa na kuna option? na ni kurud CCM? hata ningekuwa mimi ningerud kabla nyumba ya pili haijauzwa

of course kuvumilia njaa inahitaji nguvu za ziada.

Kila mtu atarudi alipokuwepo , ni swala la muda tuu