Jameni..Even Children (Punda Wadogo) Wamechoka

When a child tells u to UP your game then rest assured something is WRONG somewhere. Look at the class windows for starts
[ATTACH=full]99249[/ATTACH]

Nyanya tatu @10/- aii apana
[ATTACH=full]99250[/ATTACH]

Good morning kaka braza yake @blaze

a child is being misused here…huyu anajua bei ya unga ama tomatoes.

Nyanya tatu kumi is cheap according to me especially this rainy cold season.
Juzo nilinunua tatu 25 nika butwaaika sana

mi nilinunua mbili 25, lakini zilikuwa kubwa karibu kama avocado

tatu kumi wapi huko? huku tunagongwa na tatu twendi fae

You all should come to ATC. Nyanya moja 10 bob. Waru moja 10 bob…

Bei ya sukari bado inaniuma.

Wacha ninunue unga ya uji niwachane na chai.

pia hizo zinapakishwa kwa puthy ndio zinauzwa styro hii?

[MEDIA=facebook]id=1406431739417082;type=video[/MEDIA]

If we have bad leaders it is because of bad voters, cause and effect. ___Alchemist 2017

[ATTACH=full]99268[/ATTACH]

Huyu jirani atasumbua hadi lini?

GMO?

hata nashangaa. lakini hiyo siku nilipitisha threshold

Shida ya watu kama hawa huwa nini

hadi unashindwa ni kuwa na roho mbaya tu

utafanya akina uweschieth wakule nyanya pekee in their quest to exceed threshold

Agriculture is devolved. Someni katiba !

Aii kwani unataka ziuzwe aje?:(:(:frowning:

Maybe nimeona vibaya but I think she is wiping the tomatoes (wet ones she has just washed to remove mud/ dust) on some cloth ili akiweka kwa paper isigather moisture na ikuwe presentable. I could be wrong juu kama ni kupanguza kwa puthy, ingekuwa inawekwa kuleeeeeee ndaaaaaaaaaaaaannnnniiiiii, ndaaaaaaaannnnnnniiiiii sana akiwa amepanua mguuu.

Okay, I will leave the panua analytics at this point.