Jambass to build kiptum a house in seven days

https://twitter.com/Kenyans/status/1758374159954870686?s=19

With giving deadlines I trust JSKS, the house might as well as be built in 12 hours using the vast housing levy kit stored safely at sugoi

Nilisoma hapa alijengwa millions after breaking the world record.

Hata isipokuwa ni vile Africans sportsmen are underpaid him and the likes of Kipchoge wangekuwa level moja na akina Serena ama Tiger Woods. Lakini gig Tiger analipwa 10 Million USD, Kipchoge atalipwa 500K USD. It is what it is

3 Likes

…but still what matters is how you spend your money. Mtu anapewa hio $500k, anaweza fanya vitu mingi hapa Kenya. That’s roughly 75M. Hio doo msee anaweza jijenga. But mkenya kitu hufanya nazo sijui ni nini hasa

1 Like

Kwani msee hakua na keja ama kazi ilikua kufukuzana na slay queens