Jambass and Mbandi want to loot your retirement funds

https://x.com/StandardKenya/status/1866842921141502235

1 Like

Finding new ways to kughula

2.4 Trillion is at stake

kwani kazi ya infrastructure bond huwa nini? serikali itumie io, kama pension fund yyote watakuwa interested, watanunua bonds kwa hiari yao wenyewe.

1 Like

We should say no to this. Pensioners as we speak were not getting paid their dues the last time I checked

Hii mutu yenu ameshindwa na kasi kabisa. Bure kabisa. Workers will retire wapate alighula pesa yao yote.

3 Likes

Hapo kwa nssf ndio walikuwa wanakosania na Atwoli

1 Like

Hii kenya imeoza. Watu wapige hawa watu. Alafu hii pesa yote wanaiba wafanye nini nayo ama kuna watu wananunua “miaka” na hatujui. Must be very expensive. Suppose wanashika miaka kwa bei nafuu mbona wanakaa wazee…na jambas anakaa nka anasonga soon…

mbandi ni nini mungich?

https://x.com/i/status/1867143410705891604