2 Likes
Hawa bold tiktokers tuseme wanarepsent 1% of Kenya. Ukitoa mmoja mwengine anatokezea. Its not easy to deal with this issue unless utumie mbinu ya Uhuru ya kusema amejiondoa from online platforms.
4 Likes
things in Kenya first simmer then reach a point of no return the sooner you learn this the better watch and learn
4 Likes
RUTO HAFIKISHI 2027 AS PRESIDENT, GOJA DEMOS ZA FINANCE BILL 2025 ZIANZE NDIO HIYO MBWA ITAMEA AKILI.
5 Likes
Kwanza dawa za ukimwi imeisha na anataka Ku renovate ofisi
4 Likes
hakuna finance bill tena, sitakuwanga ammedments hapa na pale vile walifanya juzi