Jamani hatima ya JF vipi

Maxenzo Mello, ndio kusema JF imekufa, imemezwa huku? Huna namna ya kuinusuru? Very sad indeed!

[SIZE=7]JamiiForums | The Home of Great Thinkers[/SIZE]
Asante kwa kuendelea kuwa mvumilivu wakati huduma yetu ikiwa haipatikani. Tunatambua unahitaji huduma hii, tunakuhakikishia tutarejea hewani mapema iwezekanavyo!

Uongozi - JamiiForums

Please let them make make it! Hili tangazo linatia matumaini lakini we need actions now!

!
!
Ila Dah Eti Senior Villager

Kwani hapa upo wapi?

Unataka kusema hapa tupo jf

No, not at all, hapa siyo JF

Huyu Magufuli amerealize kuwa amebugi step…

Yeye mawazo yake ni kuwakomesha wale wote wanaomkosoa, amafanya kosa kubwa sana, kwa kuwa katika ulimwengu wa Leo Leo anapopambana na hao wanaompinga anazidi kujijengea chuki zaidi

Kwa kuwa kwenye siasa unamjibu mpinzani wako kwenye majukwaa ya kisiasa na siyo “kumshoot” kama walivyomfanyia Tundu Lissu, ule ulikuwa ni ushamba wa hali ya juu

maisha ya bongo hapa yalipofikia siku ukifa wakafika makaburini wakakuingza halaf ikatokea cjui nini huko wanataka wakutoe kwanza, nakuhakikishia utafufuka kwa mda na patatokea mtifuano mkali ambao haujawah shuhudiwa upo radh uombe sapot kwa izrael akupe sapot ubaki nae kaburin.

so sad but we will get used to this forum in case native jf ikifa

Me Naamini Melo anajua anachokifanya

Nami ndiyo imani yangu sidhani kama anaweza akaacha ikafa. Vipi umekuja na ID yako ya JF. Basi ngoja nanmi nifungue ingine na ID ya JF

Naimani na JF naamini wapo kujipanga, juzi nilimsikia Melo kupitia DW akisema huu ndio mwanzo wa JF na sio mwisho

Kweli.

Hii ndio ID yangu ya nyumban mkuu

Nyumba kuu ipi JF original au Kenya talk!

Welcome villager

Hii ID kweli ‘nyumbani’ Jamvini ilikuwepo?!

Itarudi soon…

Cc: @Mahondaw

Naamini JF itarudi kivingine ila sio ndani ya Tanzania.